Proverbs 22:22-23


22 aUsiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini,
wala kumdhulumu mhitaji mahakamani,

23 bkwa sababu Bwana atalichukua shauri lao
naye atawateka wao waliowateka.

Copyright information for SwhKC